This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Tuesday, July 21, 2015

Kuna hivi viwanja 10 vya soka vilivyojengwa kwa gharama zaidi duniani (Pichaz)

Kuna nchi ambazo sehemu ya kitega  uchumi kwao ni kwenye soka!! ukiachia miundombinu ya barabara na majengo mazuri,zipo nchi ambazo huthamini zaidi mpira wa miguu na zimejikuta zikiwekeza zaidi katika mchezo huo. Moja ya sababu zinazofanya nchi za Ulaya kufanya vizuri katika michezo ni pamoja na miundombinu mizuri inayowawezesha kuwa na mazingira mazuri ya kufanya vizuri. Leo nimekusogezea hivi viwanja 10 vilivyojengwa...

Thursday, October 9, 2014

BAADA YA KIPA DE GEA KUTISHIA KUONDOKA OLD TRAFFORD, PETER CECH NAE ATINGISHA KIBERITI DARAJANI ATISHIA KUONDOKA KAMA HATAKUWA MLINDA LANGO NAMBA MOJA

Cech akitolewa nje baada ya kuumia bega la kushoto wakati Chelsea ikabiliana na Atletico Madrid dimbani Vicente Calderon msimu uliopita katika michuano ya klabu bingwa barani Ulaya mchezo ambao ulikwisha kwa timu kutoka suluhu. Mlinda lango nyota na mwenye heshima kubwa Stanford Bridge, Petre Cech amefunguka kwenye vyomba vya habari leo hii na kusema kama ataendelea mlinda lango chaguo la pili (namba 2) katika klabu ya Chelsea, ni...

REDD'S MISS TANZANIA 2014 KUFANYIKA MLIMANI CITY JUMAMOSI HII

Mkurugenzi wa Kampuni ya Rino International Agency ambao ni waratibu wakuu wa Mashindano ya Miss Tanzania,Hashim Lundenga (kulia) akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo,juu ya onyesho la Redd's Miss Tanzania 2014 linalotarajiwa kufanyika Oktoba 11,2014 katika Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar.Katikati ni Meneja wa Kinywaji cha Redd's ambao ni Wadhamini Wakuu wa Mashindano hayo,Victoria Kimaro na kushoto ni Meneja Maria Stopes...

WEMA ASHINDWA KULIPA MAPIGO YA DANGOTI

 Mwana mitindo maarufu na msaani wa bongo movie wema sepetu ameshindwa kujibu mapigo ya bwana wake diamond kwa kushindwa kumpa zawadi katika siku yake ya kuzaliwa kw...

Thursday, July 24, 2014

Mlipuko waua 40, Nigeria

Watu wapata 40, wameuawa katika milipuko mikubwa miwili iliyotokea katika mji wa Kaduna, kaskazini mwa Nigeria. Katika mlipuko wa kwanza wa kujitoa mhanga watu 25 waliuawa, huku wengine 15 wakiuawa katika eneo lililokuwa na msongamano wa watu katika mji wa Kawo. Shambulio hilo pia lilimlenga kiongozi wa upinzani na kiongozi wa zamani wa kijeshi Jenerali Muhammadu Buhari. Shambulio la kwanza lilimlenga kiongozi mashuhuri wa kiislam aliyeambatana...