This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Friday, January 17, 2014

MJAMZITO ANASWA KWA UKAHABA

Stori: ISSA MNALLY NA DUSTAN SHEKIDELE OPARESHENI ya Polisi wa Mkoa wa Morogoro na kikosi maalum cha kufichua Maovu cha Magazeti ya Global Publishers (OFM), imemnasa mwanamke mjamzito katika kamatakamata ya machangudoa. ...

Thursday, January 16, 2014

DIAMOND, NI BUSARA KUACHA NYODO!

Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz'. JINA lake lipo juu mno, pengine kuliko msanii mwingine yeyote kati ya vijana wanaotingisha anga ya muziki wa kizazi kipya kwa sasa. Siyo jambo la busara hata kidogo, kubeza uwezo wake katika kumiliki jukwaa, jinsi anavyojituma na zaidi, tungo zake zinazoendelea ‘kubamba’ kila kukicha, ingawa zina ujumbe unaofanana, kuhusu mapenzi! Hapa ninamzungumzia Nasibu...

BABY MADAHA

Baby Joseph Madah. AMA kweli maovu yanazidi kuongezeka, shetani naye mbioni siku zote kunasa waliyo wake, kauli hizo zote ziko sambamba na staa wa sinema za Kibongo na mkali wa muziki wa Kizazi Kipya, Baby Joseph Madaha amenaswa baada kuingia mkenge mtego wa kujiuza, Ijumaa limesheheni. Kumekuwa na skendo kuwa baadhi ya mastaa wa kike Bongo hujihusisha na biashara ya kujiuza ili kujipatia kipato na kufanya...