Hapa ni barabara iliyo jirani na jengo la Tume ya Sayansi na Teknolojia Kijitonyama.
Pikipiki hizi zipo karibu na stendi ya basi Mwenge jijini Dar ambazo
zimezungukwa na maji na mafundi kukimbia eneo hilo kutokana na mvua
kubwa iliyonyesha. Wenye pikipiki hizi wangejua kuwa mali zao zimemezwa
na maji, wangelia!…
Hapa ni barabara iliyo jirani na jengo la Tume ya Sayansi na Teknolojia Kijitonyama.
0 comments:
Post a Comment