Saturday, September 14, 2013

KWELI SANAA NI USANI


Recho kutoka THT akifanya vitu vyake stejini katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2013 mkoani Dodoma.
Nikki wa Pili akimiliki jukwaa la Serengeti Fiesta 2013 mkoani Dodoma usiku wa kuamkia leo.…
Recho kutoka THT akifanya vitu vyake stejini katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2013 mkoani Dodoma.
Nikki wa Pili akimiliki jukwaa la Serengeti Fiesta 2013 mkoani Dodoma usiku wa kuamkia leo.
...Young Killer kazini.
...Stamina akinogesha shoo ya Serengeti Fiesta 2013 mkoani Dodoma usiku wa kuamkia leo.
Nyomi ikiitikia shangwe za Serengeti Fiesta 2013 mkoani Dodoma usiku wa kuamkia leo.
Country Boys wakipagawisha umati uliohudhuria shoo ya Serengeti Fiesta 2013 mkoani Dodoma usiku wa kuamkia leo.
Afande Sele akitoa burudani kwa mashabiki.
Diamond akipagawisha mashabiki jukwaani.
Diamond akipashana na Nay kwenye wimbo wao wa Mziki gani.
Juma Nature akiendeleza makamuzi.Young Killer mzee Mwanza-Mwanza akikonga nyoyo za mashabaki.
(PICHA NA MUSA MATEJA / GPL, DODOMA)

0 comments: