Monday, July 14, 2014

Mashabiki wa Ujerumani na Argentina Copacabana beach Rio de Janeiro July 13 2014

Screen Shot 2014-07-14 at 3.47.14 AM
Mashabiki wa Argentina wakihojiwa na kituo cha TV cha Brazil ambacho kilikua kinarusha live matangazo yake kutokea hapa.
Karibu kwenye ufukwe wa Copabana, hizi picha ni za saa kadhaa kabla ya mechi ya fainali ya kombe la dunia kwenye huu ufukwe mkubwa na maarufu duniani unaopatikana kwenye jiji la Rio de Janeiro nchini Brazil.
Kutokana na ukaribu wa Brazil na Argentina, siku mbili kabla ya fainali mashabiki wa timu ya taifa ya Argentina walianza kumiminika kwa wingi kwenye jiji la Rio de Janeiro kulikochezwa fainali ya kombe la dunia ambapo timu yao ilikipiga na timu ya taifa ta Ujerumani.
Shangwe zilikua kubwa sana kwenye mitaa mingi huku Waargentina wakichukua headlines na hata kwenye fukwe hii wao ndio walionekana wengi na wanaimba kila wakati, mashabiki wa Ujerumani ambayo ndio mshindi baada ya kupata goli kwenye Extra Time walikua wa kuhesabu mmojammoja.
Screen Shot 2014-07-14 at 3.49.58 AMKulikua na Wabrazil wengi waliovaa na kujichora bendera ya Ujerumani waliyokua wakiishangilia, upinzani wa nchi hizi mbili jirani Brazil na Argentina ulifanya Wabrazil wengi waiombee ushindi Ujerumani.
Screen Shot 2014-07-14 at 3.49.34 AM
Screen Shot 2014-07-14 at 3.49.28 AM
Screen Shot 2014-07-14 at 3.49.15 AM
Screen Shot 2014-07-14 at 3.49.02 AM
Screen Shot 2014-07-14 at 3.48.52 AM
Screen Shot 2014-07-14 at 3.48.45 AM
Screen Shot 2014-07-14 at 3.48.36 AM
Screen Shot 2014-07-14 at 3.48.24 AM
Screen Shot 2014-07-14 at 3.48.15 AM
Screen Shot 2014-07-14 at 3.48.06 AM
Screen Shot 2014-07-14 at 3.47.56 AM
Screen Shot 2014-07-14 at 3.47.45 AM
Screen Shot 2014-07-14 at 3.47.14 AM
Screen Shot 2014-07-14 at 3.46.43 AM
Screen Shot 2014-07-14 at 3.46.36 AM
Screen Shot 2014-07-14 at 3.46.23 AM
Screen Shot 2014-07-14 at 3.46.13 AM
Screen Shot 2014-07-14 at 3.46.01 AM
Screen Shot 2014-07-14 at 3.45.53 AM
Screen Shot 2014-07-14 at 3.45.46 AM
Screen Shot 2014-07-14 at 3.45.40 AM
Screen Shot 2014-07-14 at 3.45.35 AM
Screen Shot 2014-07-14 at 3.45.10 AM
Screen Shot 2014-07-14 at 3.43.31 AM

0 comments: