Friday, June 13, 2014

WAZAZI NCHINI WAMETAKIWA KUHAKIKISHA DINI YA KIISLAM INAKUA.

Ushauri huo umetolewa katika mashindano ya kuhifadhi qur-ani na muakilishi wa jimbo  kikwajuni MHE,MAHAMOUD MOHAMED MUSSA katika msikiti wa jeshi Jangombe MHE,mahamoud pia amewata Walimu kutovunjika moyo katika kuwa fundisha Wanafunzi  wao kwani kufanya hivyo  Watapata ujira mkubwa  Mbele ya MWENYEZIMUNGU.

0 comments: