Wednesday, June 11, 2014

SHAFI IDDI AWAASA MADEREVA

 
 Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani mratib muandalizi shafi Iddi Hasani amewataka madereve wanaoendesha gari  ya binasfi ambazo huchuku wanafunzi wanafunzi katika skuli binafsi kuacha tabia ya kupakia bila ya kiwango kilichowekwa hali ambayo inaweza kusababisha ajali .

0 comments: