Mkuu wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, akitoa maelekezo ya jinsi ya kuondoa kifusi eneo la tukio.
LEO majira ya saa mbili na nusu asubuhi Watanzania wameingia kwenye
vilio baada ya jengo lililokuwa limefikia ghorofa ya 15, likijengwa
ubavuni mwa Msikiti wa Shia Ithnaasheri mtaa wa Indira Ghandi jijini Dar
es Salaam, kuanguka na kuwafunika watu waliokuwa eneo hilo na
kusababisha wengine kupoteza maisha. Mpaka sasa haijajulikana idadi
kamili ya watu waliokuwemo ndani yake, ila watu wawili wamethibitishwa
kuwa wamekufa na wengine 19 kujeruhiwa.Friday, March 29, 2013
Home »
» HIVI NDIVYO GHOROFA LILIVYOANGUKA POSTA JIJINI DAR
0 comments:
Post a Comment