Friday, April 12, 2013

MAMA SHARO AANZA KUKOMALIA HAKI ZA MWANAYE

Na Gladness Mallya

MAMA mzazi wa aliyekuwa msanii wa muziki na filamu Bongo, marehemu Hussein Ramadhan Mkieti ‘Sharo Milionea’, Bi. Zainabu Mkieti amefunguka kuwa kwa sasa anaanza kufuatilia haki za mwanaye kwenye kampuni alizokuwa anafanya nazo kazi kwani tayari ameshafungua mirathi.
Marehemu Hussein Ramadhan Mkieti 'Sharo Milionea'.
Akichezesha taya na paparazi wetu kwa njia ya simu akiwa jijini Tanga, Mama Sharo alisema tayari ameshafungua mirathi na msimamizi ni mama mkubwa wa Sharo anayejulikana kwa…

0 comments: